1 Petro 4:3
1 Petro 4:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati uliopita mlikuwa na muda mrefu wa kufanya mambo wanayofanya watu wasiomjua Mungu. Mliishi maisha ya anasa, ubinafsi, ulevi, ugomvi, kunywa mno na ya ibada haramu za sanamu.
Shirikisha
Soma 1 Petro 41 Petro 4:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana wakati wa maisha yetu uliopita watosha kwa kutenda mapenzi ya Mataifa; kuishi katika uzinzi, tamaa, ulevi, na karamu za kula na kunywa vileo kupindukia, na ibada haramu ya sanamu
Shirikisha
Soma 1 Petro 4