1 Petro 4:17
1 Petro 4:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati wa hukumu umefika, na hukumu hiyo inaanza na watu wake Mungu mwenyewe. Ikiwa hukumu hiyo inaanzia kwetu sisi, basi, mwisho wake utakuwa namna gani kwa wale wasioamini Habari Njema ya Mungu?
Shirikisha
Soma 1 Petro 41 Petro 4:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana wakati umefika wa hukumu kuanza katika nyumba ya Mungu; na ikianza kwetu sisi, mwisho wao wasioitii Injili ya Mungu utakuwaje?
Shirikisha
Soma 1 Petro 4