1 Petro 2:8
1 Petro 2:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Tena Maandiko yasema: “Jiwe hilo ni jiwe la kujikwaa, mwamba wa kuwaangusha watu.” Watu hujikwaa kwa sababu hawauamini ule ujumbe; na ndivyo walivyopangiwa tangu mwanzo.
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena, Jiwe la kujikwaza mguu, na mwamba wa kuangusha. Kwa maana hujikwaza kwa neno lile, wasiliamini, nao waliwekwa kusudi wapate hayo.
Shirikisha
Soma 1 Petro 2