1 Petro 2:6
1 Petro 2:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa kuwa imeandikwa katika maandiko Tazama, naweka katika Sayuni jiwe kuu la pembeni, teule, lenye heshima, Na kila amwaminiye hatatahayarika.
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana Maandiko Matakatifu yasema: “Tazama! Naweka jiwe huko Siyoni, jiwe la msingi, teule na la thamani. Mtu atakayemwamini huyo hataaibishwa.”
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa imeandikwa katika Maandiko: Tazama, naweka katika Sayuni jiwe kuu la pembeni, teule, lenye heshima, Na kila amwaminiye hatatahayarika.
Shirikisha
Soma 1 Petro 2