1 Petro 2:25
1 Petro 2:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyinyi mlikuwa kama kondoo waliokuwa wamepotea; lakini sasa mmemrudia Mchungaji na Mlinzi wa roho zenu.
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana mlikuwa mnapotea kama kondoo; lakini sasa mmemrudia Mchungaji na Mwangalizi wa roho zenu.
Shirikisha
Soma 1 Petro 2