1 Petro 2:22-23
1 Petro 2:22-23 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeye hakutenda dhambi, wala neno la udanganyifu halikusikika mdomoni mwake. Alipotukanwa yeye hakujibu kwa tukano; alipoteseka yeye hakutoa vitisho, bali aliyaweka matumaini yake kwa Mungu, hakimu mwenye haki.
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:22-23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye hakutenda dhambi, wala udanganyifu haukuwapo kinywani mwake. Yeye alipotukanwa, hakurudisha matukano; alipoteswa, hakutisha; bali alijikabidhi kwake yeye ahukumuye kwa haki.
Shirikisha
Soma 1 Petro 2