1 Petro 2:2
1 Petro 2:2 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kama watoto wachanga, waliozaliwa sasa, yatamanini maziwa ya kiroho yasiyochanganywa na kitu kingine chochote, ili kwa hayo mpate kukua katika wokovu
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama vile watoto wachanga wanavyotamani maziwa, nanyi pia mnapaswa kuwa na hamu ya maziwa halisi ya kiroho, ili kwa nguvu yake mpate kukua na kukombolewa.
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama watoto wachanga waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa, ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu
Shirikisha
Soma 1 Petro 2