1 Petro 2:18-19
1 Petro 2:18-19 Biblia Habari Njema (BHN)
Enyi watumishi wa nyumbani, watiini wakuu wenu kwa heshima yote, wawe wema na wapole au wenye kuchukiza. Maana kama mnavumilia maumivu ya mateso msiyostahili kwa sababu mwajua kwamba Mungu anataka hivyo, basi Mungu atawafadhili.
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:18-19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Enyi watumishi, watiini bwana zenu kwa hofu nyingi, sio wale walio wema na wenye upole tu, bali pia wale walio wakali. Maana huu ndio wema hasa, mtu akivumilia huzuni kwa kumkumbuka Mungu, pale ateswapo pasipo haki.
Shirikisha
Soma 1 Petro 2