1 Petro 2:13
1 Petro 2:13 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kwa ajili ya Bwana, tiini kila mamlaka iliyowekwa na wanadamu: Awe ni mfalme kwani ndiye aliye na mamlaka ya juu zaidi
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, jiwekeni chini ya mamlaka yote ya kibinadamu, kwa ajili ya Bwana: Utii kwa mfalme aliye mtawala mkuu
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tiini kila kiamriwacho na watu, kwa ajili ya Bwana; iwe ni mfalme kama mwenye cheo kikubwa
Shirikisha
Soma 1 Petro 2