1 Wafalme 7:1
1 Wafalme 7:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Solomoni alijijengea ikulu, nayo ilimchukua miaka kumi na mitatu kumalizika.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 71 Wafalme 7:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Sulemani alikuwa katika kuijenga nyumba yake mwenyewe miaka kumi na mitatu, akaimaliza nyumba yake yote.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 7