1 Wafalme 4:6
1 Wafalme 4:6 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Ahishari: msimamizi wa jumba la kifalme; Adoniramu mwana wa Abda: msimamizi wa kazi za kulazimisha.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 41 Wafalme 4:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Ahishari alikuwa mkuu wa ikulu na Adoniramu mwana wa Abda, alikuwa msimamizi wa kazi za kulazimishwa.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 41 Wafalme 4:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na Ahishari alikuwa mkuu wa kasri; na Adoramu mwana wa Abda alikuwa msimamizi wa shokoa.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 4