1 Wafalme 3:9
1 Wafalme 3:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, nakuomba unipe mimi mtumishi wako moyo wa kusikia ili kuamua watu wako, niweze kutambua mema na mabaya; maana ni nani awezaye kuhukumu watu wako walio wengi hivi?”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 31 Wafalme 3:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo nipe mimi mtumwa wako moyo wa adili niwahukumu watu wako, na kupambanua mema na mabaya; maana ni nani awezaye kuwahukumu watu hawa wako walio wengi?
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 3