1 Wafalme 3:8
1 Wafalme 3:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Na hapa umeniweka kati ya watu wako ambao umewachagua; nao ni wengi hata hawawezi kuhesabika kwa wingi wao.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 31 Wafalme 3:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na mtumwa wako yuko katikati ya watu wako uliowachagua, watu wengi wasioweza kuhesabiwa, wala kufahamiwa idadi yao, kwa kuwa ni wengi.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 3