Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 3:16-17 - Compare All Versions

1 Wafalme 3:16-17 BHN (Biblia Habari Njema)

Siku moja, wanawake wawili makahaba, walikwenda kwa mfalme Solomoni. Mmoja wao akasema, “Ee bwana wangu, mimi na huyu mwenzangu tunakaa nyumba moja; mimi nilijifungua mtoto wakati huyu dada yumo nyumbani.

Shirikisha
1 Wafalme 3 BHN

1 Wafalme 3:16-17 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ndipo wanawake wawili, makahaba, walimwendea mfalme, wakasimama mbele yake. Na mwanamke mmoja akasema, Ee bwana wangu, mimi na mwanamke huyu tunakaa katika nyumba moja; nami nilizaa nilipokuwa pamoja naye nyumbani.

1 Wafalme 3:16-17 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ndipo wanawake wawili, makahaba, walimwendea mfalme, wakasimama mbele yake. Na mwanamke mmoja akasema, Ee bwana wangu, mimi na mwanamke huyu tunakaa katika nyumba moja; nami nalizaa nilipokuwa pamoja naye nyumbani.

Shirikisha
1 Wafalme 3 SUV

1 Wafalme 3:16-17 NEN (Neno)

Basi wanawake wawili makahaba walikuja kwa mfalme na kusimama mbele yake. Mmoja wao akasema, “Bwana wangu, mimi na mwanamke huyu tunaishi kwenye nyumba moja. Nilikuwa nimezaa alipokuwa pamoja nami.

Shirikisha
1 Wafalme 3 NEN