1 Wafalme 3:14
1 Wafalme 3:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Tena kama ukifuata njia na maagizo yangu na kushika amri zangu kama alivyofanya baba yako Daudi, basi, nitakupa maisha marefu.”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 31 Wafalme 3:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawe ukienda katika njia zangu, na kuyashika mausia yangu, na amri zangu, kama baba yako Daudi alivyokwenda, basi nitazifanya siku zako kuwa nyingi.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 3