1 Wafalme 3:11
1 Wafalme 3:11 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Basi Mungu akamwambia, “Kwa kuwa umeomba neno hili na hukuomba maisha marefu au upate utajiri kwa nafsi yako, wala adui zako wafe, bali umeomba busara katika kutoa haki
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 31 Wafalme 3:11 Biblia Habari Njema (BHN)
naye akamwambia, “Kwa kuwa umetoa ombi hili, na hukujiombea maisha marefu au mali, na wala hukuomba adui zako waangamizwe, bali umejiombea utambuzi wa kutoa hukumu au kutenda haki

Soma 1 Wafalme 31 Wafalme 3:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akamwambia, Kwa kuwa umeomba neno hili, wala hukujitakia maisha ya siku nyingi; wala hukutaka utajiri kwa nafsi yako; wala hukutaka roho za adui zako; bali umejitakia akili za kujua kuhukumu
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 3