1 Wafalme 22:7
1 Wafalme 22:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini, Yehoshafati akasema, “Je, hapa hakuna nabii mwingine wa Mwenyezi-Mungu ambaye twaweza kumwuliza shauri?”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 221 Wafalme 22:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini Yehoshafati akasema, Je! Hayupo hapa nabii mwingine wa BWANA, ili tumwulize yeye?
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 22