1 Wafalme 19:7
1 Wafalme 19:7 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Yule malaika wa BWANA akaja tena mara ya pili, akamgusa na kumwambia, “Inuka ule, kwa kuwa bado una safari ndefu mbele yako.”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 191 Wafalme 19:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamjia tena mara ya pili, akamgusa na kumwambia, “Amka ule, la sivyo safari itakuwa ngumu mno kwako.”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 191 Wafalme 19:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Malaika wa BWANA akamwendea mara ya pili, akamgusa, akasema, Inuka, ule; maana safari hii ni kubwa mno kwako.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 19