1 Wafalme 19:13
1 Wafalme 19:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Elia aliposikia sauti hiyo, alijifunika uso kwa joho lake, akatoka na kusimama mlangoni mwa pango. Hapo, akasikia sauti, “Elia! Unafanya nini hapa?”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 191 Wafalme 19:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa, Eliya alipoisikia, alijifunika uso wake katika mavazi yake, akatoka, akasimama mlangoni mwa pango. Na tazama, sauti ikamjia, kusema, Unafanya nini hapa, Eliya?
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 19