1 Wafalme 17:17
1 Wafalme 17:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya hayo, mwana wa mwanamke huyo mwenye nyumba akaugua, na hali yake ikazidi kuwa mbaya, hata mwishowe akafariki.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 171 Wafalme 17:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa, baada ya hayo, mwana wake yule mwanamke, bibi wa nyumba ile, akaugua; ugonjwa wake ukazidi hata akawa hana pumzi tena.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 17