1 Wafalme 16:8
1 Wafalme 16:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mnamo mwaka wa ishirini na sita wa utawala wa Asa mfalme wa Yuda, Ela mwana wa Baasha, alianza kutawala huko Israeli kutoka Tirza. Alitawala kwa muda wa miaka miwili.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 161 Wafalme 16:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika mwaka wa ishirini na sita wa Asa mfalme wa Yuda, Ela mwana wa Baasha alianza kutawala juu ya Israeli huko Tirza, akatawala miaka miwili.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 16