1 Wafalme 15:3
1 Wafalme 15:3 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Alitenda dhambi zote baba yake alizotenda kabla yake; moyo wake haukuwa mkamilifu kwa BWANA Mungu wake kama moyo wa Daudi baba yake ulivyokuwa.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 151 Wafalme 15:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Abiya alitenda dhambi zilezile alizotenda baba yake, wala hakuwa na moyo mwaminifu kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, kama alivyokuwa babu yake Daudi.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 151 Wafalme 15:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akaziendea dhambi zote za babaye, alizozifanya kabla yake; wala moyo wake haukuwa mkamilifu na BWANA, Mungu wake, kama moyo wa Daudi babaye.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 15