1 Wafalme 14:9
1 Wafalme 14:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe umetenda uovu mbaya zaidi kuliko waliotenda wale waliokutangulia; wewe umenikasirisha kwa kujitengenezea miungu mingine na sanamu za kufua, kisha umeniacha.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 141 Wafalme 14:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
lakini umekosa kuliko wote waliokutangulia, umekwenda kujifanyia miungu mingine, na sanamu zilizoyeyuka, unikasirishe, na kunitupa nyuma yako
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 14