1 Wafalme 13:6
1 Wafalme 13:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, mfalme Yeroboamu akamwambia nabii, “Tafadhali, umsihi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, uniombee mkono wangu upate kupona.” Naye nabii akamwomba Mwenyezi-Mungu, na mkono wa mfalme ukapona, ukarudia hali yake ya hapo awali.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 131 Wafalme 13:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mfalme akajibu, akamwambia yule mtu wa Mungu, Umsihi sasa BWANA, Mungu wako, ukaniombee, ili nirudishiwe mkono wangu tena. Yule mtu wa Mungu akamwomba BWANA mkono wa mfalme ukarudishwa tena, ukawa kama ulivyokuwa kwanza.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 131 Wafalme 13:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mfalme akajibu, akamwambia yule mtu wa Mungu, Umsihi sasa BWANA, Mungu wako, ukaniombee, ili nirudishiwe mkono wangu tena. Yule mtu wa Mungu akamwomba BWANA mkono wa mfalme ukarudishwa tena, ukawa kama ulivyokuwa kwanza.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 13