1 Wafalme 1:1
1 Wafalme 1:1 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Mfalme Daudi alipokuwa mzee umri ukiwa umesogea, hakuweza kupata joto hata walipomfunika kwa nguo.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 11 Wafalme 1:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfalme Daudi, wakati alipokuwa mzee sana, watumishi wake walimfunika kwa mablanketi, lakini hata hivyo, hakuweza kupata joto.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 11 Wafalme 1:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mfalme Daudi alikuwa mzee, mkongwe katika siku zake, nao wakamfunika nguo, lakini asipate joto.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 1