1 Yohane 5:14-15
1 Yohane 5:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Na sisi tuko thabiti mbele ya Mungu kwani tuna hakika kwamba tukimwomba chochote kadiri ya matakwa yake, yeye hutusikiliza. Yeye hutusikiliza kila tunapomwomba; na kwa vile tunajua kwamba yeye hutusikiliza kila tunapomwomba, twajua pia kwamba hutupatia yote tunayomwomba.
Shirikisha
Soma 1 Yohane 51 Yohane 5:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia. Na kama tukijua kwamba atusikia, tunapoomba chochote, tunajua kwamba tumetimiziwa zile haja tulizomwomba.
Shirikisha
Soma 1 Yohane 51 Yohane 5:14-15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia. Na kama tukijua kwamba atusikia, tuombacho chote, twajua kwamba tunazo zile haja tulizomwomba.
Shirikisha
Soma 1 Yohane 5