1 Yohane 4:1
1 Yohane 4:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Wapenzi wangu, msimsadiki kila mtu asemaye kwamba ana Roho wa Mungu, bali chunguzeni kwa makini kama huyo mtu anaongozwa na Roho wa Mungu au la, maana manabii wengi wa uongo wamezuka ulimwenguni.
Shirikisha
Soma 1 Yohane 41 Yohane 4:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zipimeni hizo roho, kama zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
Shirikisha
Soma 1 Yohane 41 Yohane 4:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
Shirikisha
Soma 1 Yohane 4