1 Yohane 2:4 - Compare All Versions
1 Yohane 2:4 BHN (Biblia Habari Njema)
Mtu akisema kwamba anamjua, lakini hazitii amri zake, basi mtu huyo ni mwongo, na ukweli haumo ndani yake.
Shirikisha
1 Yohane 2 BHN1 Yohane 2:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Yeye asemaye, Nimemjua, wala hazishiki amri zake, ni mwongo, wala kweli haimo ndani yake.
Shirikisha
1 Yohane 2 SRUV1 Yohane 2:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye asemaye, Nimemjua, wala hazishiki amri zake, ni mwongo, wala kweli haimo ndani yake.
Shirikisha
1 Yohane 2 SUV1 Yohane 2:4 NEN (Neno)
Mtu yeyote asemaye kuwa, “Ninamjua,” lakini hazishiki amri zake, ni mwongo, wala ndani ya mtu huyo hamna kweli.
Shirikisha
1 Yohane 2 NEN