1 Yohane 2:3 - Compare All Versions
1 Yohane 2:3 BHN (Biblia Habari Njema)
Tukizitii amri za Mungu, basi, tunaweza kuwa na hakika kwamba tunamjua.
Shirikisha
1 Yohane 2 BHN1 Yohane 2:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na katika hili tunajua ya kuwa tumemjua yeye, ikiwa tunashika amri zake.
Shirikisha
1 Yohane 2 SRUV1 Yohane 2:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na katika hili twajua ya kuwa tumemjua yeye, ikiwa tunashika amri zake.
Shirikisha
1 Yohane 2 SUV1 Yohane 2:3 NEN (Neno)
Basi katika hili twajua ya kuwa tumemjua, tukizishika amri zake.
Shirikisha
1 Yohane 2 NEN