1 Yohane 2:22
1 Yohane 2:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwongo ni nani? Ni yule anayekana kwamba Yesu ni Kristo. Mtu wa namna hiyo ni mpinzani wa Kristo – anamkana Baba na Mwana.
Shirikisha
Soma 1 Yohane 21 Yohane 2:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni nani aliye mwongo ila yeye akanaye ya kuwa Yesu ni Kristo? Huyo ndiye mpinga Kristo, yeye amkanaye Baba na Mwana.
Shirikisha
Soma 1 Yohane 2