1 Wakorintho 7:39
1 Wakorintho 7:39 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwanamke aliyeolewa huwa amefungwa na mumewe kwa muda wote mumewe aishipo. Lakini mumewe akifa, mama huyo yuko huru, na akipenda anaweza kuolewa na mtu yeyote, mradi tu iwe Kikristo.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 71 Wakorintho 7:39 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanamke hufungwa maadamu mumewe yuko hai, lakini ikiwa mumewe amefariki, yuko huru kuolewa na mtu yeyote amtakaye; katika Bwana tu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 7