1 Wakorintho 7:3-4
1 Wakorintho 7:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mume atimize wajibu alio nao kwa mkewe, naye mke atimize wajibu alio nao kwa mumewe. Mke hana mamlaka juu ya mwili wake, bali mumewe anayo; hali kadhalika naye mume, hana mamlaka juu ya mwili wake, bali mkewe anayo.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 71 Wakorintho 7:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake. Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 7