1 Wakorintho 7:18
1 Wakorintho 7:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama mtu aliitwa akiwa ametahiriwa, basi asijisingizie kwamba hakutahiriwa; na kama alipoitwa hakuwa ametahiriwa, basi na asitahiriwe.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 71 Wakorintho 7:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Mtu fulani ameitwa akiwa amekwisha kutahiriwa? Asijifanye kana kwamba hakutahiriwa. Mtu fulani ameitwa akiwa hajatahiriwa bado? Basi asitahiriwe.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 7