1 Wakorintho 7:15
1 Wakorintho 7:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Hata hivyo, ikiwa yule asiyeamini anataka kumwacha mwenzake aliye Mkristo, basi, na amwache tu. Hapo huyo Mkristo, mume au mke, atakuwa huru. Maana Mungu amewaiteni nyinyi muishi kwa amani.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 71 Wakorintho 7:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini yule asiyeamini akiondoka, na aondoke. Hapo huyo ndugu mume au ndugu mke hafungiki. Lakini Mungu ametuita katika amani.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 7