1 Wakorintho 6:2-3
1 Wakorintho 6:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, hamjui kwamba watu wa Mungu watauhukumu ulimwengu? Ikiwa basi, ulimwengu utahukumiwa nanyi, kwa nini hamstahili kuhukumu hata katika mambo madogo? Je, hamjui kwamba, licha ya kuhukumu mambo ya kawaida ya kila siku, tutawahukumu hata malaika?
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 61 Wakorintho 6:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! Hamstahili kukata hukumu zilizo ndogo? Hamjui ya kuwa mtawahukumu malaika, basi si zaidi sana mambo ya maisha haya?
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 61 Wakorintho 6:2-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! Hamstahili kukata hukumu zilizo ndogo? Hamjui ya kuwa mtawahukumu malaika, basi si zaidi sana mambo ya maisha haya?
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 6