1 Wakorintho 6:19-20
1 Wakorintho 6:19-20 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, hamjui kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, ambaye mlimpokea kutoka kwa Mungu? Nyinyi basi, si mali yenu wenyewe. Mlinunuliwa kwa bei kubwa. Kwa hiyo, itumieni miili yenu kwa ajili ya kumtukuza Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 61 Wakorintho 6:19-20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe; maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 61 Wakorintho 6:19-20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe; maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yen
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 6