1 Wakorintho 2:6
1 Wakorintho 2:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Hata hivyo, sisi tunatumia lugha ya hekima kwa wale waliokomaa kiroho; lakini hekima hiyo si ya hapa duniani, wala si ya watawala wa dunia hii ambao wako katika mkumbo wa kupotea.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 21 Wakorintho 2:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini iko hekima tusemayo kati ya wakamilifu; ila si hekima ya dunia hii, wala ya hao wanaoitawala dunia hii, wanaobatilika
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 2