1 Wakorintho 15:53
1 Wakorintho 15:53 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kwa maana mwili huu wa kuharibika lazima uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa lazima uvae kutokufa.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 151 Wakorintho 15:53 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana ni lazima kila kiharibikacho kijivalie hali ya kutoharibika, mwili uwezao kufa ujivalie hali ya kutokufa.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 151 Wakorintho 15:53 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana sharti huu uharibikao uvae kutoharibika, nao huu wa kufa uvae kutokufa.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 15