1 Wakorintho 14:35 - Compare All Versions
1 Wakorintho 14:35 BHN (Biblia Habari Njema)
Ikiwa wanayo maswali ya kuuliza, wawaulize waume zao nyumbani, maana ni aibu kwa mwanamke kusema katika mikutano ya waumini.
Shirikisha
1 Wakorintho 14 BHN1 Wakorintho 14:35 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Nao wakitaka kujifunza neno lolote, na wawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao; maana ni aibu wanawake kunena katika kanisa.
Shirikisha
1 Wakorintho 14 SRUV1 Wakorintho 14:35 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakitaka kujifunza neno lo lote, na wawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao; maana ni aibu wanawake kunena katika kanisa.
Shirikisha
1 Wakorintho 14 SUV1 Wakorintho 14:35 NEN (Neno)
Wakitaka kuuliza kuhusu jambo lolote, wawaulize waume zao nyumbani. Kwa maana ni aibu kwa mwanamke kuzungumza kanisani.
Shirikisha
1 Wakorintho 14 NEN