1 Wakorintho 14:2
1 Wakorintho 14:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenye kunena lugha ngeni hasemi na watu bali anasema na Mungu. Yeye hunena kwa nguvu ya Roho mambo yaliyofichika.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 141 Wakorintho 14:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana yeye anenaye kwa lugha, hasemi na watu, bali husema na Mungu; maana hakuna asikiaye; lakini anena mambo ya siri katika roho yake.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 14