1 Wakorintho 1:7
1 Wakorintho 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)
hata hampungukiwi kipaji chochote cha kiroho mkiwa mnangojea kufunuliwa kwake Bwana wetu Yesu Kristo.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 11 Wakorintho 1:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
hata hamkupungukiwa na karama yoyote, mkikutazamia sana kufunuliwa kwake Bwana wetu Yesu Kristo
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 1