1 Wakorintho 1:3-4
1 Wakorintho 1:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Nawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Bwana wetu Yesu Kristo. Ninamshukuru Mungu wangu daima kwa ajili yenu kwa sababu amewatunukia nyinyi neema yake kwa njia ya Kristo Yesu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 11 Wakorintho 1:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Neema na iwe kwenu na amani, zitokazo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo. Namshukuru Mungu sikuzote kwa ajili yenu, kwa sababu ya neema ya Mungu mliyopewa katika Kristo Yesu
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 1