1 Wakorintho 1:16
1 Wakorintho 1:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Samahani, nilibatiza pia jamaa ya Stefana; lakini zaidi ya hawa, sidhani kama nilimbatiza mtu mwingine yeyote).
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 11 Wakorintho 1:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena niliwabatiza watu wa nyumbani mwa Stefana; zaidi ya hao, sijui kama nilimbatiza mtu yeyote mwingine.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 1