1 Mambo ya Nyakati 6:33
1 Mambo ya Nyakati 6:33 Biblia Habari Njema (BHN)
Zifuatazo ni koo za wale ambao walitoa huduma hizo: Ukoo wa Kohathi: Hemani, kiongozi wa kundi la kwanza la waimbaji, alikuwa mwana wa Yoeli. Ukoo wake kutokana na Israeli ni kama ifuatavyo: Hemani, mwana wa Yoeli, mwana wa Samueli
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 61 Mambo ya Nyakati 6:33 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na hawa ndio waliohudumu pamoja na wana wao. Katika wana wa Wakohathi; Hemani mwimbaji, mwana wa Yoeli, mwana wa Samweli
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 6