1 Mambo ya Nyakati 29:9
1 Mambo ya Nyakati 29:9 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Watu wakafurahi kwa sababu ya itikio la hiari la viongozi wao, kwa kuwa walikuwa wametoa kwa hiari na kwa moyo wote kwa BWANA. Mfalme Daudi pia akafurahi sana.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 291 Mambo ya Nyakati 29:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndipo watu wakafurahi kwa sababu walitoa kwa hiari, maana kwa moyo wao wote walimtolea Mwenyezi-Mungu kwa hiari, naye mfalme Daudi alifurahi sana.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 291 Mambo ya Nyakati 29:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo hao watu wakafurahi, kwa sababu wametoa kwa hiari yao wenyewe, kwa moyo wao wote, kwa hiari yao wenyewe, wamemtolea BWANA; mfalme Daudi naye akafurahi sana.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 29