1 Mambo ya Nyakati 24:27-29
1 Mambo ya Nyakati 24:27-29 Biblia Habari Njema (BHN)
wazawa wa Merari kwa mwanawe Yaazia: Shohamu, Zakuri na Ibri. Wana wa Mahli: Eleazari ambaye hakupata mtoto, Kishi ambaye alikuwa na mwana mmoja: Yerameeli.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 241 Mambo ya Nyakati 24:27-29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wana wa Merari; wa Yaazia; Beno, na Shohamu, na Zakuri, na Ibri. Wa Mali; Eleazari, asiyekuwa na wana. Wa Kishi; wana wa Kishi; Yerameeli.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 24