1 Mambo ya Nyakati 24:20-21
1 Mambo ya Nyakati 24:20-21 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kuhusu wazao wa Lawi waliobaki: Kutoka kwa wana wa Amramu: alikuwa Shubaeli; kutoka kwa wana wa Shubaeli: alikuwa Yedeya. Kwa wa Rehabia, kutoka kwa wanawe: Ishia alikuwa wa kwanza.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 241 Mambo ya Nyakati 24:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Hawa ndio wazawa wengine wa Lawi: Mmoja wa wazawa wa Amramu alikuwa Shubaeli; wa Shubaeli alikuwa Yedeya. Mmoja wa wazawa wa Rehabia alikuwa Ishio kiongozi wa ukoo.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 24