1 Mambo ya Nyakati 24:19
1 Mambo ya Nyakati 24:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Hawa waliandikishwa kulingana na kazi zao kuingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu kutoa huduma, kadiri ya utaratibu waliowekewa na Aroni babu yao, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 241 Mambo ya Nyakati 24:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Huu ndio utaratibu wa zamu zao katika huduma yao, ya kuingia nyumbani mwa BWANA kwa kadiri ya agizo lao, kwa mkono wa Haruni baba yao, kama BWANA, Mungu wa Israeli, alivyomwamuru.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 24