1 Mambo ya Nyakati 23:1 - Compare All Versions
1 Mambo ya Nyakati 23:1 BHN (Biblia Habari Njema)
Daudi alipokuwa mzee wa miaka mingi, alimtawaza Solomoni mwanawe awe mfalme wa Israeli.
Shirikisha
1 Mambo ya Nyakati 23 BHN1 Mambo ya Nyakati 23:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi alikuwa mzee, ameshiba siku; akamtawaza mwanawe Sulemani awe mfalme juu ya Israeli.
Shirikisha
1 Mambo ya Nyakati 23 SUV1 Mambo ya Nyakati 23:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi alipokuwa mzee kwa kuishi siku nyingi; alimtawaza mwanawe Sulemani awe mfalme wa Waisraeli.
Shirikisha
1 Mambo ya Nyakati 23 SRUV1 Mambo ya Nyakati 23:1 NEN (Neno)
Daudi alipokuwa mzee aliyeshiba siku, akamfanya Sulemani mwanawe kuwa mfalme juu ya Israeli.
Shirikisha
1 Mambo ya Nyakati 23 NEN