1 Mambo ya Nyakati 16:1
1 Mambo ya Nyakati 16:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha waliliingiza sanduku la Mungu, na kuliweka ndani ya hema ambayo Daudi alikuwa ameitayarisha. Halafu wakatoa tambiko za kuteketezwa na za amani mbele ya Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 161 Mambo ya Nyakati 16:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakaliingiza sanduku la Mungu, na kuliweka katikati ya hema aliyoipiga Daudi kwa ajili yake; wakatoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani mbele za Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 16